KUHUSU TAARIFA ZA KIFO CHA ALIYEKUWA MEYA WA DAR NA MBUNGE WA AFRIKA MASHARIKI DR. DIDAS MASSABURI
Aliyewahi kuwa meya wa Dar es Salaam na mbunge wa Afrika Mashariki, Dr. Didas Massaburi amefariki dunia usiku usiku wa kuamkia Oktoba 13,2016 katika hospitali ya taifa Muhimbili mahali alikokuwa akipata matibabu yake.