Donald Trump anatarajiwa kuapishwa kuwa Rais wa Marekani Januari 2017. Baada ya hapo atalazimika kuiacha nyumba yake hii ya gharama kubwa na kwenda kuishi katika Ikulu ya Marekani (White House).
Nyumba hii ta Trump imegharimu dola milioni 100 ambazo ni sawa na shilingi bilioni 218.2 za Tanzania huku likiwa limenakishiwa na vito vya dhahabu na madoido kibao.
Hapa chini ni picha za jumba hilo la kifahari.