Tony Pulis amesaini mkataba mpya wakuendelea kuifundisha West Brom

Kocha wa klabu ya West Brom, Tony Pulis amesaini mkataba mpya wa mwaka mmoja katika klabu hiyo ambao utamfanya aitumikie timu hiyo mpaka mwaka 2018.