Staa Victoria Kimani amerudi kwenye headlines za burudani 2016 ambapo October 8, 2016 kaachia hii video mpya ya single yake iitwayo ‘My Money’.
Ukishamaliza kuitazama hii video sio mbaya ukituachia na comment yako mkali huyo akipita hapa kujua Watanzania wameipokeaje.