Lady Jay Dee Afunga Ndoa Tena..Apost Picha Akiwa Honey Moon
Msanii nguli na namba moja nchini kwa upande wa kina dada binti machozi, komamdo, anaconda, lady jay
dee amefunga ndoa weekend hii kupitia mtandao wa I.G amepost baadhi ya picha akila honey moon uko
Zanziba