MWANAMKE APIGWA BAKORA HADHARANI KWA KUFANYA ZINAA...MSHUHUDIE HAPA

Mwanamke mmoja ameadhibiwa kwa kupigwa bakora mgongoni hadharani nchini Indonesia, kutokana na kubainika kufanya zinaa nje kabla ya ndoa.
Mwanamke huyo kijana aliwekwa juu ya jukwaa mbele ya umma huko Banda Aceh na kulazimishwa kupiga magoti na kuchapwa bakora hizo mgongoni hadi akaishiwa nguvu.
Mtu aliyejifunika uso akimchapa bakora mwanamke anayedaiwa kuzini
Mwanamke huyo akiondolewa kwenye machela baada ya kuzidiwa
Mwanaume aliyezini naye akipigwa bakora za mgongoni kwa kosa hilo