Angalia Picha na Video: Scania semi trailer lateketea kwa moto Dodoma
Gari aina ya Scania limeteketea kwa moto mjini Dodoma Jumamosi, Oct 9, maeneo ya Kisasa Sheli kwa Malanga. Haikuweza kufahamika mara moja chanzo cha moto huo. Hakuna majeruhi walioripotiwa.
Picha na video vimechukuliwa na Sam Chard (Dodoma)