By Mr me Sunday, 30 October 2016 BURUDANI Vanessa Mdee Aja na Muonekano Mpya Sasa Kama Bob Marley Vanessa mdee ameamua kuingia kwenye utamaduni mpya huku akiwashangaza mashabiki wake Ameamua kuingia kwenye utamaduni wa watu wa Raggie kama bob marley na lucky dube Baaadhi ya mashabiki wameonekana kutokubali na muonekano huu KWA HABARI ZA VIJANA INGIA HAPA!!! Tweet