Mwimbaji staa wa Tanzania Alikiba alikua kwenye list ya waliotumbuiza kwenye Tamasha la Mombasa Rocks Music Festival ambalo pia mgeni wake mkuu alikua Chris Brown na wengine wakiwa ni Vanessa Mdee, Wizkid na wengineo.
Itazame hii video hapa ujionee jinsi Alikiba alivyotumbuiza Mombasa Rocks Festival