VIDEO: Mlinzi wa Chris Brown Mombasa kayaongea haya kuhusu Chris

Kazi yangu ni kuhakikisha nakusogezea kila habari inayonifikia hii ni kutoka 254 Kenyaambapo millardayo & Ayo TV imefanikiwa kumpata Mlinzi wa Chris Brown Kenyaaliehusika na usalama kuanzisha alipowasili Kenya mpaka alipoondoka nchini humo.
Mlinzi huyo akiongea na ripota wa millardayo.com & Ayo TV aliyaongea haya>>Mimi nilihusika katika mambo ya usalama, Kwanza msanii huyo Chris hatabiriki tabia yake mara kwa mara ni ya kugeukageuka, atafurahi/atakasirika’-Mlinzi
Unaweza ukabonyeza play kuitazama hii interview ya Mlinzi wa Chris Brown kuhusu Chris Mombasa