Ni msanii kutoka Bongoflevani ambapo tarehe 8, 2016 aliingia kwenye headlines za Fiesta 2016 baada ya kutoa burudani ya nguvu kwa mashabiki wake mkoani Mtwara ambako alipozaliwa staa huyo.
Itazame hii video hapa ujionee Harmonize akitoa burudani ya nguvu