VIDEO: Nyoka aliyekufa na Mmiliki wake Songea, Aliyebeba Nyoka kwenye Pikipiki Aongea Kila Kitu

Dereva boda boda Kasian Haule ambaye alimpakia Denis Komba na nyoka wake.

...................................

Tukio lililo zua taharuki kwa wakazi wa Songea mkoani Ruvuma na kupewa nafasi kubwa katika vyombo vya habari vya Tanzania na nje ya Tanzania pamoja na mitandao ya kijamii, huku likiacha gumzo midomoni mwa watu, kuhusiana na kifo cha DENIS KOMBA kufariki dunia baada ya nyoka wake aliyekuwa anasadikiwa kummiliki, kuuawa na wananchi DESEMBA 26 MWAKA HUU, majira ya saa 4 na nusu usiku , katika maeneo ya hospitali ya rufaa ya mkoa wa Ruvuma. 

Ruvuma TV imezungumza na KASIANI HAULE, ambaye ndiye dereva boda boda  aliyekuwa kakodiwa na marehemu DENISI KOMBA Bonyeza hiyo Video upate ukweli wa tukio.