VIDEOMpya: Lameck “Ditto” anatualika kuitazama hii video yake mpya “Moyo Sukuma Damu”

Baada ya kufanya vizuri na audio yake kwenye radio mbalimbali, msanii ambaye ni zao la nyumba ya kukuza vipaji Tanzania (THT) Lameck Ditto a.k.a Ditto ameachia video ya wimbo wake mpya “Moyo Sukuma Damu” ambayo imeongozwa na director Travellera kutoka Kwetu Studio.
Image result for download icon