Upinzani wahoji serikali kwa mpigo
KAMBI rasmi ya upinzani ya Bungeni, imelalamika utaratibu unaofanywa na serikali wa kupeleka marekebisho mengi kwa mpigo, na ya sheria n...
Ng'ombe 150 kuchinjwa sherehe ya Mugabe
Mugabe atatimiza miaka 93 Chama kinachotawala nchini Zimbawe Zanu-PF, kimeanza kuchangisha pesa kwa sherehe za siku ya kuzaliwa ya Rai...
GEITA : Wachina Wafanya Unyama Tena, Wapiga Mtu Hadi Kulazwa Hospitalini Huku Hajitambui..!!!
Mkazi wa Kijiji cha Nyarugusu Mkoani Geita, Elisha Sylvester (26) amelazwa katika wodi nane katika Hospitali teule ya Mkoa wa Geita ...
YAHYA JAMMEH AONDOKA NCHINI GAMBIA KWENDA KUISHI UHAMISHONI
Aliyekuwa Rais wa Gambia, Yahya Jammeh ameondoka nchini humo baada ya mvutano wa muda kufuatia kushindwa katika uchaguzi mkuu wa nch...
UPDATES: CHANZO CHA MOTO UWANJA WA NDEGE DAR CHAJULIKANA
Taarifa zilizotufikia hivi punde zimeeleza kuwa, chanzo cha moto mkubwa uliozuka usiku wa kuamkia leo kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimata...
PICHA: MASELE CHAPOMBE AFUNGA NDOA
Msanii wa vichekesho aliyejipatia umaarufu mkubwa kupitia Kundi la Vituko Shoo, Chrispine Lyogello ‘Masele Chapombe’ ameaga ukape...
Fid Q: Wakazi na Nikki Mbishi si wanahiphop wa kuchukuliwa poa
Rapper Fid Q amewataja wasanii wawili wanaofanya muziki wa Hip Hop ambao wanachukuliwa kikawaida lakini wakipewa nafasi zaidi mwakani ...
Tamko la Zitto Kabwe kuhusu madeni anayodaiwa, mshahara na mali alizonazo
Mbunge Zitto Kabwe kutoka Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo) ametoa taarifa kuhusu madeni anayodaiwa, kiwango cha mshahara wake wa mwaka, kiasi ...
Video: Darassa akusanya kijiji Ilala katika maandalizi ya show ya Dar Live, aondoka kama mfalme
Darassa alikutana na wafanyabiashara wa soko la Ilala Boma na kuonyesha baadhi ya vitu ambavyo ataenda kuvifanya Jumamosi hii kwenye Juk...
MAKUBWA Yafichuka Faru John
Maofi sa wa Wizara ya Maliasili na Utalii, wataalamu kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine (SUA), wafanyakazi wa Shirika la Hifadhi za Ta...
PICHA 5: AJALI YA BASI LA NATIONAL EXPRESS ILIYOTOKEA LEO SINGIDA
Watu watatu wamefariki dunia na zaidi ya 20 wamejaruhiwa kufuatia ajali ya basi la National Express iliyotokea eneo la Tumuli mkoa...
TAZAMA PICHA ZA MAAJABU JINSI WANAVYO TENGENEZA FILAMU…AMA KWELI TUNADANGANYWA SANA
Labda una ndoto za kuwa mtayarishaji wa filamu mbalimbali hapo baadaye, au siyo? Au unataka kuweka rekodi kwa kutengeneza filamu nzuri am...
Subscribe to:
Posts (Atom)